Thursday 13 August 2015

MSAFARA WA EDWARD LOWASSA WAPIGWA STOP MAZISHI YA PETER KISUMO



Polisi wa Mwanga mkoani Kilimanjaro wamezuia msafara wa Edward Lowassa kijiji cha Maroro Wilayani Mwanga sasa hivi akiwa ameongozana Mbatia, Ndesamburo na Augustino Mrema ukielekea msibani kwa madai kuwa wanaosindikiza msibani ni wengi sana.

No comments:

Post a Comment