Monday, 24 August 2015

EDWARD LOWASSA NDANI YA DALA DALA JIJINI DAR ES SALAAM




Mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa Edward Lowassa akiwa kwenye daladala leo Agosti 24, 2015 asubuhi kuangalia kero za wananchi.

Hapa ni maeneo ya Gongolamboto kuelekea Chanika wakati akijaribu kuzungumza na wananchi moja kwa moja kwa njia ya kuwaweka karibu ili kujua matatizo yanayowasumbua

No comments:

Post a Comment