Mabasi yaendayo kasi (BRT) katika Jiji la Dar es Salaam yanaanza leo na abiria watasafirishwa Kimara hadi Kivukoni Bure katika uzinduzi huu
moja ya basi la mwendo kasi likikatiza mtaa wa Lumumba ikiwa sehemu ya majaribio ya mabasi hayo ambayo yanaaminika yataondoa kabisa tatizo la usafiri katika jiji la Dar es Salaam
Mabasi yakisafirisha watu Dar leo
No comments:
Post a Comment