Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye ametangaza kujiondoa CCM na kujiunga na upinzani bila kutaja chama.Amesema anaondoka kwa kuwa CCM imeshindwa kufikia matarajio ya wananchi na kuwa inatakiwa ijirekebishe.Kwamba anakwenda kuimarisha upinzani kwa ajili ya masrahi ya nchi
No comments:
Post a Comment