Tuesday 28 July 2015

MAPADRI WATATU NA MTAWA WAFARIKI KATIKA AJALI



Ajali mbaya imetokea leo asubuhi baada ya gari la Mapadri wa Jimbo la Rulenge kugongana na basi la Sabuni na kuua mapadri wawili na mtawa mmoja wakati wakielekea Wilayani Karagwe.Ajali imetokea kijiji cha Bugorola Wilayani Missenyi.

No comments:

Post a Comment