Aida Nakawala 25 mkazi wa kijiji cha
Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto
wanne mapacha kwa mkupuo(Quadruplets) katika usiku wa kuamkia Mwaka
mpya anaendelea vizuri.
Kujua chanzo cha kuzaa watoto kwa mpigo fungua hapa chini.
Chanzo cha kuzaa watoto zaidi ya mmoja kwa mpigo kutoka HARAKATINEWS BLOG
No comments:
Post a Comment